Kushirikisha Sayansi na tabiri za kitamaduni
Wazee wa jamii ya Pokot na wataalamu , wanashirikiana katika utabiri wa hali ya hewa
Kwa hisani ya NTV tunakufahamisha jinsi idara ya hali ya hewa Kenya inavyojumuisha mbinu za kitamaduni na sayansi kutoa taarifa za matarajio ya hali ya hewa ya misimu. Ili kusaidia kuoanisha tabiri kutoka jamii tofauti hapa nchini hasaikizingatia hali ya hewa katika jimbo amabazo ushirikiano huu unafanyika.